MASHABIKI WA ZUCHU WAPINGA USHINDI WA NIKITA KERING KWENYE TUZO ZA AFRIMA 2021
Huku mashabiki kutoka Kenya wakiendelea kumsifia msanii Nikita Kering baada ya kushinda tuzo mbili zA AFRIMA Best Artist East Africa na Best Group in African RnB & Soul. Mashabiki wa msaani Zuchu wa WCB wanahisi kuwa Nikita hakustahili kushinda tuzo ya msaani bora wa Afrika Mashariki wa kike. Kupitia mtandao wa instagram mashabiki hao wamedai […]
Read More