AROMA ATOA POVU ZITO KWA MASTAA WAKUBWA UGANDA, ADAI WANAUA VIPAJI

AROMA ATOA POVU ZITO KWA MASTAA WAKUBWA UGANDA, ADAI WANAUA VIPAJI

Msanii wa kike kutoka nchini Uganda Aroma amesikitishwa na namna wasanii wakubwa nchini humo wanaendesha tasnia ya muziki. Akiwa kwenye moja ya interview Aroma amedai kwamba mastaa wengi nchini uganda wamehujumu kazi za wasanii chipukizi kwani wamekuwa na mazoea ya kuzihonga vyombo vya habari ili nyimbo zao zichezwe. Hitmaker huyo wa β€œYoola” amesema mastaa wengi […]

Read More