MASTER J AFUNGUKA SIRI YA MAFANIKIO YA WASANII WA NIGERIA
Mtayarishaji wa muziki BongoFleva, Master J ameeleza sababu za wasanii wa Nigeria kufanya vizuri Afrika na duniani kwa ujumla. Katika mahojiano yake hivi karibuni amesema kitu ambacho watu hawakifahamu ni kwamba Wanigeria walianza muziki miaka mingi kutokana na maendeleo kwao kutangulia. “Walianza wakati bado tumelala, hapa tulipo wao walishapita hata miaka 60 iliyopita, kwa hiyo […]
Read More