Mwimbaji wa nyimbo za injili Master Piece awajibu wanaoponda muziki wake
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Master Piece amejibu wanaodai kuwa ameacha muziki wa injili kimya kimya na kugeukia uimbaji nyimbo za kiduani kwa lengo la kujitafutia pesa. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Master Piece amewataka walimwengu waache tabia ya kuwakosoa wasanii na badala yake wasapoti muziki mzuri wanaoufanya kama njia ya kutangaza muziki wa Kenya […]
Read More