Bien na Matata Wauza Tiketi Zote Paris, Waweka Historia Mpya ya Muziki wa Kenya

Bien na Matata Wauza Tiketi Zote Paris, Waweka Historia Mpya ya Muziki wa Kenya

Wasanii nyota wa Kenya Bien-Aimé Baraza (maarufu kama Bien) na kundi la Matata wameweka historia kwa kuuza tiketi zote katika onyesho lao la muziki lililofanyika mjini Paris, Ufaransa, Ijumaa usiku hatua inayotajwa kama ushindi mkubwa kwa muziki wa Kenya kimataifa. Tamasha hilo lililoandaliwa katika ukumbi maarufu wa La Bellevilloise, ulioko katikati ya jiji la Paris, […]

Read More
 Kundi la Matata laachia rasmi album mpya

Kundi la Matata laachia rasmi album mpya

Wasanii wa kundi la Matata wameachia rasmi Album yao mpya inayokwenda kwa jina la SUPER MORIO. Album hiyo ina jumla ya ngoma 15 za moto ambazo wamewashirikisha wakali kama Sauti sol, Wakadinali, akuvi, Liam bailey, Phyasco na Okello Max. SUPER MORIO ni Album ya kwanza kwa wasanii wa Kundi la Matata tangu waanze safari yao […]

Read More
 MATATA WAACHIA RASMI UNAWARE EP

MATATA WAACHIA RASMI UNAWARE EP

Kundi la muziki la Matata limeachi rasmi EP yao mpya inayokwenda kwa jina la Unaware. Ep hiyo ina jumla ya mikwaju nne ya moto huku zote zikiwa collabo ambazo wamezifanya na wasanii wa sol generation nviiri the storyteller na Bensoul. Unaware EP ina nyimbo kama Matatu, Pombe na kizungu nyingi, Unaware na tulia nikupange ambapo […]

Read More