Kocha Kamau Asema Mathare Wako Tayari Kwa Mechi Dhidi ya Tusker
Kocha wa klabu ya Mathare United, John Kamau, amesema kuwa timu yake imejiandaa kikamilifu kusaka ushindi dhidi ya Tusker FC katika mechi ya Ligi Kuu ya Kenya itakayochezwa Jumatano hii kwenye Uwanja wa Kasarani. Akizungumza baada ya kuongoza kikosi chake katika hafla ya upanzi wa miti kama sehemu ya kuunga mkono juhudi za kukabiliana na […]
Read More