WILLY PAUL ATANGAZA KUWANIA UBUNGE MATHARE MWAKA 2022
Mwanamuziki nyota nchini Willy Paul ametia nia ya kugombea kiti cha ubunge eneo la Mathare kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Hitmaker huyo “My Woman” ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwwa kuandika ujumbe unaosomeka “Are you ready Mathare? Lets bring that change #Levels, ujumbe unaowataka wakaazi wa Mathare kumuunga mkono kwenye […]
Read More