Mwimbaji wa Marekani Matt B adokeza kufanya kolabo na Bebe Cool
Msanii kutoka Marekani Matt B amefichua mpango wa kufanya kazi ya pamoja na wasanii wa Uganda. Kupiti ukurasa wake wa Instagram amemtaja Bebe Cool kama mmoja wa wasanii ambao huenda akafanya nao kazi ambapo alienda mbali zaidi na kuwauliza mashabiki namna wimbo wao utakavyosikika masikioni mwao. “Nilipata nafasi ya kukutana na Bebe Cool ilikuwa heshima. […]
Read More