MAUA SAMA ATAJWA KUWANIA TUZO ZA NEW VISION INTERNATIONAL AWARDS
Hakika huu ni mwaka wenye neema kwa msanii Maua Sama kwasababu licha ya ngoma zake kufanya vizuri kupitia digital platforms mbalimbali, kubwa zaidi ni kuwa miongoni mwa watakaowania kwenye tuzo za nchini Uholanzi. Maua ametajwa kuwania tuzo ya video bora ya mwaka kupitia video ya ZAI kwenye tuzo za “New Vision International Awards” (NVIFF) huko […]
Read More