Maua Sama mbioni kuachia Album mpya

Maua Sama mbioni kuachia Album mpya

Mwanamuziki wa Bongofleva Maua Sama anaunza mwaka 2023 kwa kishindo. kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza kuachia album mpya Februari 14, kwenye siku ya wapendao maarufu kama Valentines. Maua Sama ameipa album hiyo jina la Love Waves yaani “Mawimbi ya upendo”. ”Album title Love Waves! This Valentine’s 2023”, Aliandika. Hata hivyo bado hajaweka wazi idadi ya nyimbo na wasanii walioshirikishwa […]

Read More
 Mashabiki zangu wengi wanaume – Maua Sama

Mashabiki zangu wengi wanaume – Maua Sama

Msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama amedai mashabiki wake wengi ni wanaume na ndio maana imekuwa vigumu kwake kudumu kwenye mahusiano. Hata hivyo, tangu amekuwa maarufu kupitia muziki, Maua Sama hajawahi kuweka wazi mahusiano yake licha ya kuandamwa na tetesi za hapa na pale. “Mashabiki zangu wengi wanaume, ndio maana maboyfriend hawakai, huko kwenu vipi […]

Read More

MAUA SAMA AMJIBU ZUCHU KIMTINDO

Mwanamuziki wa Bongofleva, Maua Sama amewataka wasanii wenzake kuacha kupeana shinikizo zisizo kuwa na msingi kwenye masuala ya muziki. Kupitia ukurasa wake wa twitter Hitmaker huyo wa “ZAI” ameandika ujumbe unaosomeka “Wasanii tupunguze mikwara tutauana kwa pressur” na kumalizia na emoji ya kicheko. Ujumbe huo wa Maua Sama umetafsiriwa na walimwengu kuwa ni vijembe kwenda […]

Read More
 MAUA SAMA ATAMANI KUINGIA KWENYE NDOA

MAUA SAMA ATAMANI KUINGIA KWENYE NDOA

Huenda tukio la Harmonize kumvisha Kajala pete ya uchumba limemgusa pakubwa mwimbaji wa bongofleva maua sama akitamani kuwa kwenye mahusiano, kwani ametangaza kuwa yupo single. Maua ametumia neno “Jimbo Lipo Wazi” akiwa na maana kwamba hayupo kwenye mahusiano kama ambavyo ujumbe huo unavyomaanisha huko mitaani. Maua sama ameandika “JIMBO LIPO WAZI ” akiwa ameambatanisha na emoji […]

Read More
 MAUA SAMA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

MAUA SAMA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Maua Sama ameachia rasmi album yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. Hitmaker huyo  wa ngoma ya “Zai” amewabarki mashabiki zake na  “Cinema EP” ambayo ina jumla ya nyimbo 7 za moto, ikiwa na kolabo 2 pekee kutoka kwa wakali kama Ali Kiba na Jux. EP hiyo kwa sasa inapatikana kwenye majukwaa yote ya ku-stream […]

Read More
 MAUA SAMA AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA

MAUA SAMA AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA

Mwimbaji nyota wa muziki wa Bongofleva, msanii Maua Sama amewaacha njia panda mashabiki wake kufuatia kuchapisha ujumbe unaoshiria yupo mbioni kuachia EP au Minitape. Katika post yake kwenye mtandao wa Instagram Maua Sama ametangaza kutengeneza wimbo mrefu sana wenye dakika 23, verse 14 na chorus 5. Maua Sama ambaye anajiita Maua Kobe ameeleza katika hizo […]

Read More