MAUNDA NZORO AFARIKI AKITOKEA MSIBANI USIKU WA KUAMKIA LEO
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Maunda Zorro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 14, 2022 kwa ajali ya gari jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Banana Zorro ambaye ni kaka wa marehemu, mdogo wake alifariki kufuatia ajali ya gari iliyotokea saa chache baada ya kuachana naye. Banana ameeleza kuwa aliachana na Maunda saa 12 […]
Read More