Msanii wa Elani, Maureen Kunga, Aachia Kazi Mpya kama Msanii wa Kujitegemea

Msanii wa Elani, Maureen Kunga, Aachia Kazi Mpya kama Msanii wa Kujitegemea

Mwanamuziki wa Kenya na mshirika wa kundi maarufu la Elani, Maureen Kunga, ametangaza rasmi kuanza safari yake ya muziki kama msanii wa kujitegemea kupitia wimbo wake wa kwanza aliouachia kwa jina “Majaliwa.” Wimbo huo, ambao tayari umeanza kuvutia mashabiki mtandaoni, ni utunzi wa kipekee wenye kugusa hisia, kwani Kunga ameuandika kama heshima na shukrani kwa […]

Read More