Msanii wa Uganda Maurice Kirya kustaafu muziki mwaka 2023
Msanii mkongwe kwenye muziki kutoka nchini Uganda Maurice Kirya ametangaza mpango wa kustaafu muziki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amewashukuru mashabiki kwa upendo ambao wamemuonesha kwa kipindi cha miaka 22 ambacho amekuwa akifanya sanaa. Aidha amesema mwaka 2023 ndio utakuwa mwaka wa mwisho kwake kujihusisha na sanaa baada ya kukamiliasha ziara yake ya kimuziki jijini […]
Read More