Prodyuza Mavo On The Beat aachia rasmi Album yake mpya

Prodyuza Mavo On The Beat aachia rasmi Album yake mpya

Prodyuza maarufu wa muziki wa Gengetone nchini Mavo On The Beat ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la “Unajifanya.” Unajifanya album imebeba jumla ya mikwaju 17 ya moto huku zote zikiwa ni kolabo pekee. Mavo On The Beat ambaye amekuwa kwenye tasnia ya muziki kwa takriban miaka 10 amewashirikisha wasanii mbali mbali kama […]

Read More