Stevo Simple Boy Afichua: ‘Sikuwahi Kumiliki Mazda Demio, Ilikuwa Tu Kiki’

Stevo Simple Boy Afichua: ‘Sikuwahi Kumiliki Mazda Demio, Ilikuwa Tu Kiki’

Msanii maarufu wa Kenya, Stevo Simple Boy, ameweka wazi kuwa hakuwahi kumiliki gari aina ya Mazda Demio, kama ilivyoripotiwa awali mitandaoni. Akizungumza katika mahojiano, Stevo alisema kuwa taarifa hiyo ilikuwa ya kutunga, iliyolenga kutafuta kiki (umaarufu) na kuwavutia mashabiki mitandaoni. “Sikuwahi nunua Demio. Ilikuwa tu story ya kutengeneza clout, si ukweli,” alisema Stevo kwa uwazi. […]

Read More