Smady: ‘Beat za Kenya Hazivutii Mashabiki, Tunalazimika Kwenda Jamaica!’
Mwanachama wa kundi la muziki la Mbogi Genje, Smady, amefunguka kuhusu sababu inayowafanya wasanii wengi wa Kenya kupendelea kutumia beat za mtindo wa dancehall kutoka Jamaica katika nyimbo zao. Akipiga stori na Kasa Boss, Smady amesema hali hiyo inachangiwa na changamoto zinazowakabili baadhi ya maproducer nchini humo katika kutengeneza beat zenye ubora wa juu. Kwa […]
Read More