ALBUM YA MBOSSO “DEFINITION OF LOVE” YAWEKA REKODI KWENYE DIGITAL PLATFORMS MBALI MBALI

ALBUM YA MBOSSO “DEFINITION OF LOVE” YAWEKA REKODI KWENYE DIGITAL PLATFORMS MBALI MBALI

Hatimaye albamu ya mwanamuziki wa Bongofleva, Mbosso ‘Definition of Love’ imefanikiwa kufikisha streams zaidi ya Milioni 150. Albamu hiyo ilitoka Machi 9, mwaka 2021 ikiwa na njimbo 12 ambazo ameshirikiana na wasanii zaidi ya nane kutoka Tanzania, Uganda na Nigeria, Streams hizo milioni 150 ni jumla ya streams zote kutoka kwenye mitandao yote iliyowekwa albamu […]

Read More