Album ya Mbuzi gang yafikisha streams zaidi ya milioni 1 Boomplay
Album ya kundi la muziki nchini, Mbuzi Gang “Three Wise Goats” inaendelea kubadilisha namba kila leo kwenye digital platforms mbalimbali. Habari njema ni kwamba tayari imefikisha jumla ya Streams Milioni moja kwenye mtandao wa Boomplay ndani ya mwaka mmoja tangu itoke rasmi. Album hiyo ambayo ina jumla ya nyimbo 13 za moto,iliachiwa rasmi mwezi Januari […]
Read More