MENEJA WA HARMONIZE, MCHOPA AMKINGIA KIFUA DIAMOND PLATINUMZ KWA KUPIGA PICHA NA BENDERA YA KIBAGUZI

MENEJA WA HARMONIZE, MCHOPA AMKINGIA KIFUA DIAMOND PLATINUMZ KWA KUPIGA PICHA NA BENDERA YA KIBAGUZI

Meneja wa Harmonize, Mchopa amemkingia kifua Staa wa muziki wa Bongofleva Diamond Platnumz kufuatia watu kumkosoa mitandaoni kwa kupiga picha na bendera ya kibaguzi. Katika mahojiano yake hivi karibuni Mchopa amefunguka kuwa ni wazi Diamond hakukusudia kufanya hivyo huku akiwasihi watu kutolipa nguvu suala hilo na badala yake wajaribu kukosoa kwa njia nzuri ya kujenga. […]

Read More