MCSK Yaonya Kumbi za Burudani Zinazopuuza Wasanii Walio na Leseni
Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Hakimiliki ya Muziki Kenya (MCSK), Dkt. Ezekiel Mutua, ametoa onyo kali kwa wamiliki wa kumbi za burudani, hoteli na maeneo ya umma yanayopiga muziki, akiwataka kutoepuka au kuwatenga wasanii walio na leseni halali. Kupitia taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari, Dkt. Mutua alisema kuwa baadhi ya maeneo ya burudani […]
Read More