Meek Mill Azua Gumzo Mitandaoni Baada ya Tweets Zenye Msimamo Mkali
Msanii maarufu wa hip hop Meek Mill amezua gumzo mtandaoni baada ya kuchapisha mfululizo wa tweets zenye ujumbe mzito kuhusu shutuma mbalimbali, maisha ya anasa, na heshima ya jina lake. Katika ujumbe wake, Meek Mill amekanusha vikali madai kwamba aliwahi kushambuliwa au kuibiwa, akieleza kuwa alipokuwa Los Angeles alikutana na watu mashuhuri kama Suge Knight […]
Read More