MEGAN THEE STALLION AAELEZA KWA UCHUNGU ALIVYOPIGWA RISASI NA TORY LANEZ
Rapa kutoka Marekani Megan Thee Stallion ameendelea kufunguka ambayo hatuyafahamu kwenye shtaka lake la kupigwa risasi ya mguu na Tory Lanez Julai 12 mwaka 2020 Jijini Los Angeles. Televisheni ya CBS imeachia mahojiano yote ya Megan Thee Stallion ambapo mrembo huyo amesikika kwamba Tory Lanez alijaribu kumuonga na shilling million 115 za kenya ili asiwaambie […]
Read More