CHAMA CHA MA-VAMPIRE CHATOA ONYO KWA MASHINE GUN KELLY NA MEGAN FOX

CHAMA CHA MA-VAMPIRE CHATOA ONYO KWA MASHINE GUN KELLY NA MEGAN FOX

Chama cha Mavampaya (Vampire’s) kimetoa onyo kwa msanii Machine Gun Kelly na mkewe Megan Fox kufuatia wawili hao kuendelea kujinadi kwenye mahojiano mbali mbali kwamba kila mmoja huwa anakunywa damu ya mwenzake. Belfazaa Ashantison, mwanzilishi mwenza wa Chama cha The New Orleans Vampire Association (NOVA) amesema Machine Gun Kelly na Megan Fox wanapaswa kuchukua tahadhari kabla ya kunywa damu hizo ikiwemo kufanya vipimo kubaini magonjwa kama HIV, Malaria, Syphilis, Brucellosis na mengine makubwa. Aidha wamekazia kwamba Vampire hufanya utafiti wa kutosha angalau kwa miezi 6 ili kumfahamu mtu ambaye atakuwa akinywa damu yake bila wasiwasi na hufanya vipimo kila baada ya miezi mitatu ili kujiridhisha tena.

Read More
 MACHINE GUN KELLY AZUA GUMZO MTANDAONI, AMVISHA MPENZI WAKE MEGAN FOX PETE YA MIIBA

MACHINE GUN KELLY AZUA GUMZO MTANDAONI, AMVISHA MPENZI WAKE MEGAN FOX PETE YA MIIBA

Rapa kutoka Marekani Machine Gun Kelly haishiwi vituko, ameibuka na kutaka kumvisha Pete yenye miiba mchumba wake, Megan Fox. Kwenye mahojiano na Jarida la Vogue, Machine Gun Kelly ambaye hivi karibuni alimvisha pete ya uchumba mpenzi wake huyo wa muda mrefu, amesema pete hiyo imetengenezwa kwa miiba na pindi tu mpenzi wake akijaribu kuivua basi atapata maumivu makali sana. Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali zinazotoa gharama ya vito vya thamani, pete hiyo inatajwa kuwa na thamani ya shilling million 38.6

Read More