Mejja aachia albamu yake ya kwanza – Mtoto wa Khadija
Msanii wa muziki wa Genge kutoka Kenya, Mejja, ameachia rasmi albamu yake mpya na ya kwanza katika maisha yake ya muziki inayokwenda kwa jina la Mtoto wa Khadija. Albamu hiyo ina jumla ya nyimbo 13, ambapo kati ya hizo, 10 ni kolabo na wasanii mbalimbali huku nyimbo tatu zikiwa zimeimbwa na Mejja peke yake bila […]
Read More