Meek Mill aomba kolabo tena na Davido baada ya kumtoza shillingi millioni 20

Meek Mill aomba kolabo tena na Davido baada ya kumtoza shillingi millioni 20

Rapper kutoka Marekani Meek Mill ameamua kuweka wazi kuhusu kumtaka mwanamuziki davido kufanya naye kazi kwa mara nyingine tena ,baada ya kudai amekua akipata simu nyingi sana za show kutoka Afrika na davido ndi mtu anaeweza kukamilisha na kusimamia mchongo huo licha ya kutokua sawa kipindi hicho. Wawili hao tayari wamewahi kufanya kazi mwaka 2015 na kuachia wimbo uitwao […]

Read More