Mercy Kyallo Akanusha Kuwatapeli Wateja Kupitia Yallo Leather

Mercy Kyallo Akanusha Kuwatapeli Wateja Kupitia Yallo Leather

Mjasiriamali na mdogo wake mtangazaji maarufu Betty Kyallo, Mercy Kyallo, ameweka wazi kilichosababisha sintofahamu kuhusu ucheleweshaji wa oda za bidhaa zake maarufu za ngozi chini ya brand yake ya Yallo Leather. Kupitia Instagram, Mercy ameeleza kuwa changamoto hiyo imetokana na wazalishaji wawili wakuu wa malighafi kufunga biashara, jambo lililosababisha upungufu wa vifaa muhimu na hivyo […]

Read More
 Mercy Kyallo Adaiwa Kuwalaghai Wateja Kupitia Kampuni ya Yallo Leather

Mercy Kyallo Adaiwa Kuwalaghai Wateja Kupitia Kampuni ya Yallo Leather

Mfanyabiashara na dada yake aliyekuwa mtangazaji maarufu Betty Kyallo, Mercy Kyallo, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kufichuliwa kwa madai ya kuwalaghai wateja wake kupitia kampuni yake ya bidhaa za ngozi, Yallo Leather. Kwa mujibu wa malalamiko yaliyosambaa mitandaoni, wateja kadhaa wamedai kuwa walinunua mikoba kutoka kwa Yallo Leather kwa kulipia mapema, lakini baada […]

Read More