Picha ya Messi yavunja rekodi Instagram

Picha ya Messi yavunja rekodi Instagram

Baada ya nguli wa mpira wa miguu Lionel Messi kushinda Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia ya kucheza mpira wa miguu, historia nyingine mpya imewekwa huko Instagram. Nyota huyo wa soka wa Argentina alichapisha picha zake akiwa ameshikilia Kombe la Dunia kwenye ukurasa wake wa Instagram, chapisho ambalo kwa sasa linashika rekodi […]

Read More