Meta Yaweka Masharti Mapya kwa Watoto Wanaotumia Mitandao Yake
Kampuni ya teknolojia ya Meta Platforms Inc., inayomiliki mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, na Threads, imetangaza kuwa itaunga mkono rasmi juhudi za kuimarisha usalama wa watoto mitandaoni kwa kutekeleza utaratibu wa kuwatambua na kuwadhibiti watumiaji walio chini ya umri wa miaka 16. Kwa mujibu wa mpango huu mpya, watoto watakaotaka kujiunga na mitandao hiyo […]
Read More