Meta Yazindua SAM Audio: AI Inayofanya Uhariri wa Sauti Rahisi

Meta Yazindua SAM Audio: AI Inayofanya Uhariri wa Sauti Rahisi

Meta imezindua SAM Audio, teknolojia mpya ya AI inayoweza kutenganisha sauti maalum kutoka kwenye audio yenye sauti nyingi, kwa kutumia maelekezo rahisi kama maandishi, picha, au kipindi cha muda. Kwa msaada wa SAM Audio, mtumiaji anaweza kutoa ala za muziki, kuondoa kelele za nyuma, au kuchuja sauti zisizohitajika kwa hatua chache tu. Teknolojia hii inapatikana […]

Read More
 META Yapiga Marufuku Wizi wa Maudhui Mitandaoni

META Yapiga Marufuku Wizi wa Maudhui Mitandaoni

Kampuni ya Meta, inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook, Instagram, na Threads, imetangaza kuwa inaanza kuchukua hatua kali dhidi ya akaunti ambazo zinashiriki au kuchapisha upya (repost) maudhui ya akaunti nyingine bila ruhusa au kibali. Kupitia taarifa rasmi, Meta imesema kuwa sera hii inalenga kulinda haki miliki za watumiaji, kuhamasisha ubunifu wa asili, na kupunguza […]

Read More
 WhatsApp Yaboresha Njia ya Kuonyesha Replies

WhatsApp Yaboresha Njia ya Kuonyesha Replies

Kampuni ya Meta kupitia jukwaa la WhatsApp inafanya majaribio ya kuongeza mtindo mpya wa kuonyesha majibu yote yaliyotolewa kwenye meseji ambayo mtu amejibu. Hii ina maana kwamba badala ya kuona jibu moja tu, sasa mtumiaji ataweza kuona muktadha mzima wa mazungumzo yaliyotangulia yanayohusiana na meseji hiyo. Kipengele hiki kinatarajiwa kusaidia watumiaji kuelewa kwa urahisi zaidi […]

Read More
 Meta Yaongeza Muda wa Instagram Reels Kwa Dakika 20

Meta Yaongeza Muda wa Instagram Reels Kwa Dakika 20

Kampuni ya Meta kupitia jukwaa lake la Instagram, imetangaza rasmi kuongezwa kwa muda wa video za Reels kutoka dakika 3 hadi dakika 20, hatua ambayo inachukuliwa kama mabadiliko makubwa ya kuvutia watumiaji wanaopendelea maudhui marefu zaidi. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na timu ya Instagram, imeelezwa kuwa ongezeko hili la muda linakusudia kuwapa watumiaji, hasa watoa […]

Read More
 Facebook Yatangaza Video Zote Kuwa Reels

Facebook Yatangaza Video Zote Kuwa Reels

Mtandao maarufu wa kijamii, Facebook, umetangaza rasmi kuwa kuanzia sasa video zote zitakuwa katika mfumo wa Reels, hatua inayolenga kuimarisha na kuboresha uzoefu wa watumiaji wake wa video fupi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Facebook, mabadiliko haya yatafanyika kwa lengo la kuendana na mwelekeo wa sasa wa matumizi ya video za muda mfupi zinazopendwa zaidi […]

Read More