Mtangazaji Mgenge Azindua Kipindi Kipya cha HipHop

Mtangazaji Mgenge Azindua Kipindi Kipya cha HipHop

Mtangazaji maarufu wa redio, Mgenge, kwa kushirikiana na Mountainline Production ametangaza kuzindua kipindi kipya cha No Pen No Pad kinachojikita katika muziki wa HipHop nchini Tanzania. Kipindi hiki kinatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa na kuibua sura mpya katika tasnia ya Rap. Akizungumza na waandishi wa habari, Mgenge ameeleza kuwa muziki wa Rap umepoteza mvuto wake wa […]

Read More