MAGIX ENGA AKANUSHA KUWA MUUMINI WA ILLUMINATI, ADAI NI KIKI

MAGIX ENGA AKANUSHA KUWA MUUMINI WA ILLUMINATI, ADAI NI KIKI

Prodyuza na msanii muziki nchini Magix Enga ameibuka na kukanusha taarifa alizozitoa awali  akidai kuwa ni muumini wa dhehebu la illuminatti. Akiwa kwenye moja ya interview Enga amesema hajawahi kuwa muumini wa illuminati na wala haaminii katika uwepo wa dhehebu hilo. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Kale” ametoa changamoto kwa vijana nchini kujituma katika maisha […]

Read More