NYIMBO ZA MICHAEL JACKSON ZAFUTWA KWENYE DIGITAL PLATFORMS ZOTE DUNIANI
Sony Music ambao ndio wasimamizi wa haki za muziki za marehemu Michael Jackson wameingia kwenye headlines wiki hii. Hii ni baada ya kufuta nyimbo tatu za Michael Jackson kwenye digital platforms zote ikielezwa kuwa nyimbo hizo hakuziimba yeye enzi za uhai wake. Nyimbo hizo ni, “Monster”, “Keep Your Head Up,” na “Breaking News,” ambazo zilikuwa […]
Read More