Logo Mpya za Word, Excel na PowerPoint Zazinduliwa na Microsoft
Kampuni ya Microsoft imefanya mabadiliko makubwa ya kimwonekano kwa bidhaa zake maarufu za Microsoft Office, ikiwemo programu kama Word, Excel, PowerPoint, Teams, Outlook, na Access. Hii ni mara ya kwanza kwa kampuni hiyo kubadili logo za programu hizi kwa zaidi ya miaka mitano. Logo mpya zimeundwa kwa kutumia mtindo wa kisasa wa “gradient”, pamoja na […]
Read More