Cardi B Afichua Offset Hajatoa Msaada Wowote kwa Watoto Wao kwa Miezi 8
Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Belcalis Almanzar, Maarufu kama Cardi B, amefichua kuwa mzazi mwenzake na rapa wa kundi la Migos, Offset, hajatoa msaada wowote wa kifedha kwa watoto wao kwa kipindi cha miezi minane. Akiwa anajibu kauli ya Offset aliyoitoa katika mahojiano na The Breakfast Club, Cardi B alikanusha vikali madai kwamba yeye ni mzazi […]
Read More