Mke wa Miguel, Nazanin Mandi aomba talaka baada ya miaka 3 ya ndoa

Mke wa Miguel, Nazanin Mandi aomba talaka baada ya miaka 3 ya ndoa

Ndoa ya mwanamuziki Miguel na Nazanin Mandi imefikia mwisho, Mandi ameomba Talaka baada ya ndoa hiyo kudumu kwa miaka mitatu. Sababu Kuu iliyoandikwa kwenye ombi la mwanadada huyo ni (Irreconcilable Differences) yaani tofauti baina ya wana ndoa ambazo haziwezi kutatuliwa. Kama utakumbuka mwaka 2021, Wawili hao walianika wazi utengano wao lakini Februari mwaka huu walimaliza […]

Read More