Baby Mama wa Mikie Wine awaonya wanawake dhidi ya kuwachumbia wanamuziki

Baby Mama wa Mikie Wine awaonya wanawake dhidi ya kuwachumbia wanamuziki

Baby Mama wa msanii Mikie Wine, Shazney Khan, amewapa somo wanawake kipindi hiki ambacho kumekuwa na tetesi kuwa mahusiano yake yameingiliwa na jini mkata kamba. Khan ambaye alimtambulisha Wine kwa wazazi wake mwezi Oktoba mwaka 2021, mewashauri wanawake kutowachumbia wanaume ambao wanajihusisha na masuala ya Sanaa nchini Uganda. Mwanamama huyo mwenye makasiriko, amesema wasanii wengi […]

Read More