MKE WA MIRACLE BABY CAROL KATRUE KUMFUNGULIA MASHTAKA BABY MAMA WA MSANII HUYO TASH BABY

MKE WA MIRACLE BABY CAROL KATRUE KUMFUNGULIA MASHTAKA BABY MAMA WA MSANII HUYO TASH BABY

Mke wa msanii Peter Miracle Baby, Carol Katrue amehapa kumfungulia mashataka baby mama wa msanii huyo kwa madai ya kuwakodisha watu wawaribie brand yao. Katika mahojiano yake amesema baby mama huyo aitwaye Tash Baby amekuwa akiwalipa watu wawaribie jina kitu ambacho kimewapelekea kupoteza dili la shillingi millioni 1 kutokana na skendo ambazo zimekuwa zikiwafuata katika siku za hivi karibuni. Kauli ya Carol Katrue imekuja mara baaada ya mrembo aitwaye Bree aliyedai kuwa ana uja uzito wa Peter Miracle Baby kujitokeza kwenye moja ya interview na kudai kuwa alilipwa shilling 3,500 na Tash Baby adanganye kuwa ana uja uzito wa msanii huyo

Read More
 MIRACLE BABY WA SAILORS GANG KWENYE KASHFA NZITO YA KUMTELEKEZA BINTI YAKE

MIRACLE BABY WA SAILORS GANG KWENYE KASHFA NZITO YA KUMTELEKEZA BINTI YAKE

Msanii wa Sailors Gang, Miracle Baby ametuhumiwa kumtelekeza binti yake mwenye umri wa miaka miwili kwa kushindwa kumpa mahitaji ya msingi. Tuhuma hizo zimeibuliwa na baby mama wake Tash Baby kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amedai kwamba mpenzi mpya wa msanii huyo anayefahamika kama Carol amekuwa kizingiti  kwa mtoto wake kupata mahitaji ya msingi kutoka kwa baba yake. Tash Baby amesema kila mara anapojaribu kumpigia simu Miracle Baby Carol ndiye ushika simu na badala yake amekuwa akimtupia kila aina ya matusi aache kumfuta mume wake kwani hakuwa kipindi ambacho alikubaliana kuzaa na msanii huyo. Hata hivyo Miracle Baby hajatoa tamko lolote kuhusiana na tuhuma hizo zilizoibuliwa na Baby Mama wake ila walimwengu kwenye mitandao ya kijamii wameonekana kutofautiana kimawazo na Baby mama wake wengi wakihoji kwamba huenda ni kiki ya kumrudisha Miracle Baby kwenye kiwanda cha muziki nchini baada ya ukimya wa muda mrefu.

Read More