MISS CASHY KUMBURUZA MAHAKAMINI KHALIGRAPH JONES KWA KUKWEPA KUTOA MATUNZO KWA MTOTO WAKE

MISS CASHY KUMBURUZA MAHAKAMINI KHALIGRAPH JONES KWA KUKWEPA KUTOA MATUNZO KWA MTOTO WAKE

Mama mtoto wa Khaligraph Jones, Cashy Karimi amefichua kuwa ana mpango kumshtaki rapa huyo baada ya kukataa kutoa matunzo kwa mtoto wao. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Cashy amechapisha picha yake akiwa katika Mahakama ya Milimani na kuandika caption inayosomeka, “Ukiitwa unaitika uilvyo, ukiwa mbali njoo na champali. Ujasiri hutoka kwa Mungu, mwamuzi halisi na […]

Read More
 MISS CASHY AANIKA MADHAIFU YA KHALIGRAPH JONES

MISS CASHY AANIKA MADHAIFU YA KHALIGRAPH JONES

Rapa wa kike nchini Miss Cashy amemchana baby daddy Khalighraph Jones kwa mara nyingine kwa madai ya kushindwa kumhudumia mtoto wake. Kupitia mfululizo wa post zake instagram Cashy amekanusha tuhuma zilizoibuwa na walimwengu kwamba anataka kuvunja ndoa ya Papa jones kwa kueleza kuwa mtoto wake alizaliwa miezi kadhaa baada ya khaligraph jones kumpata binti wake […]

Read More