Miss Morgan Afunguka Kuhusu Mapambano na Pombe

Miss Morgan Afunguka Kuhusu Mapambano na Pombe

Aliyekuwa mwigizaji wa kipindi maarufu cha Tahidi High, Miss Morgan, amefunguka kuhusu safari yake ngumu ya kupambana na msongo wa mawazo pamoja na uraibu wa pombe. Akizungumza na podcast ya AM Live, Miss Morgan amesema maisha yake yalibadilika sana baada ya kuondoka kwenye kipindi hicho maarufu, huku umaarufu ukipungua na changamoto binafsi zikiongezeka. Amefichua kuwa […]

Read More