Miss Omuts Amshutumu Pritty Vishy kwa Kutoa Taarifa za Uongo Kuhusu BBL
Mjadala mkali umeibuka mtandaoni baada ya Digital Creator, Miss Omuts, kumtuhumu mrembo aliyegeukia maisha ya Usosholaiti Pritty Vishy kwa kutoa taarifa za uongo kuhusu kufanya upasuaji wa kuongeza makalio maarufu Brazilian Butt Lift (BBL). Kupitia mitandao ya kijamii, Miss Omuts amedai kuwa madai ya Vishy hayana ukweli wowote, akieleza kwamba mtu anayefanyiwa BBL hawezi kukaa […]
Read More