Miss P Afunguka Kuhusu Kuacha Muziki

Miss P Afunguka Kuhusu Kuacha Muziki

Aliyekuwa msanii wa lebo ya Saldido International, Miss P, amefunguka kwa hisia kali kuhusu kujiondoa kwake ghafla kwenye tasnia ya muziki. Kupitia TikTok Live iliyojaa majonzi, msanii huyo ameeleza kuwa umaarufu wa ghafla ulimlemea akiwa bado mdogo sana. Amesema alijikuta katika mazingira magumu ya tasnia ambayo hakuyafahamu vyema kutokana na umri wake mdogo, hali iliyowafanya […]

Read More
 ERIC MONDI AFUNGUKA SABABU ZA KUMTEMA MSANII MISS P

ERIC MONDI AFUNGUKA SABABU ZA KUMTEMA MSANII MISS P

Mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi amefunguka sababu za kusitisha kufanya kazi na msanii Miss P baada ya kuchukua jukumu la kumsimamia. Katika mahojiano na mungai Eve,  Omondi amesema changamoto kubwa ambayo kampuni yake ilikutana nayo kutoka kwa Miss P, ni msanii huyo kutoonyesha nia ya kutaka kuzisukuma  kazi zake za muziki  mwenyewe. Mchekeshaji huyo amedai […]

Read More