Wanaosema Baba Talisha Anaficha Mapenzi Wapewa Jibu Bomba

Wanaosema Baba Talisha Anaficha Mapenzi Wapewa Jibu Bomba

Mpenzi mpya wa mwanamitandao maarufu kutoka Kenya Baba Talisha, anayetambulika kama Miss Wanjey, amevunja ukimya wake baada ya mashabiki kumshutumu Baba Talisha kwa kumficha kwenye mitandao ya kijamii. Katika ujumbe alioutoa mtandaoni, Miss Wanjey alikanusha madai hayo na kueleza kwa uwazi kuwa yuko katika nafasi ya kudhibiti na kuelewa mahusiano yao. Alionyesha msimamo thabiti na […]

Read More