MKE WA MSANII BAHATI, DIANA B AZUA GUMZO MTANDAONI

MKE WA MSANII BAHATI, DIANA B AZUA GUMZO MTANDAONI

Siku chache baada ya mke wa msanii Bahati, Diana B kutangaza kujiunga na tasnia ya muziki nchini ambapo alienda mbali zaidi na kuachia wimbo wake wa kwanza uitwao Hatutaachana, mwanamama huyo amezua gumzo mitandaoni. Hii ni baada ya Β mume wake Bahati kwenye moja ya interview kutangaza bei ya diana marua kutumbuiza kwenye tamasha lolote ambalo […]

Read More