MBOSSO MUHANGA WA KAZI ZILIZOPOTEA KWA PRODYUZA MOCCO GENIUS
Mwanamuziki kutoka WCB Wasafi Mbosso amekuwa moja wahanga waliopoteza kazi zao za muziki kwa prodyuza wa muziki wa Bongofleva Mocco Genius . Prodyuza huyo ambaye ametengeneza mikwaju mingi iliyofanya vizuri zikiwemo nyimbo za Zuchu, ametangaza kupoteza data muhimu zenye kazi za wasanii tofauti tofauti zaidi ya 500, ambapo Mbosso kupitia post ya mtayarishaji huyo kwenye […]
Read More