Aliyekuwa mchezaji wa PSG Modeste M’bami afariki dunia
Kiungo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na klabu ya PSG, Modeste M’bami amefariki siku ya Jumamosi akiwa na umri wa miaka 40 baada ya kupata mshtuko wa moyo PSG imetangaza taarifa hiyo na kutuma salamu za rambirambi za kwa familia yake na walioguswa na msiba huo. “Modeste M’bami ameaga dunia akiwa na […]
Read More