Real Madrid Waagana na Luka Modric Baada ya Miaka 13 ya Mafanikio
Klabu ya Real Madrid jana imeaga rasmi kiungo wao nyota Luka Modric, baada ya kulitumikia kikosi hicho kwa miaka 13. Modric alijiunga na Madrid mwaka 2012 akitokea Tottenham Hotspur ya England, na tangu wakati huo amekuwa sehemu muhimu ya mafanikio ya Los Blancos. Miongoni mwa mafanikio makubwa ya Modric akiwa Madrid ni pamoja na kutwaa […]
Read More