MOJI SHORT BABA AKIRI KUUMIZWA NA KUNDI LA KELELE TAKATIFU KUVUNJIKA

MOJI SHORT BABA AKIRI KUUMIZWA NA KUNDI LA KELELE TAKATIFU KUVUNJIKA

Msanii wa nyimbo za injili nchini Moji Short Baba amefunguka masaibu aliyomkumbana nayo baada ya kundi la Kelele Takatifu kuvunjika. Katika mahojiano yake hivi karibuni moji amesema maamuzi ya kuvunja kundi hilo yalikuwa magumu kiasi cha kumuathiri kisaikolojia. Msanii huyo amesema aliogopa kufeli kimuziki walipoanzisha shughuli zao za usanii kama wanamuziki wa kujtegemea na mwanachama […]

Read More