MOJI SHORTBABA KUWANIA TUZO ZA VINE MUSIC AWARDS 2022 NCHINI UGANDA
Hakika huu ni mwaka wenye neema kwa msanii wa nyimbo za nchini Moji Short Baba kwa sababu licha ya ngoma zake kufanya vizuri kupitia digital platforms mbalimbali, kubwa zaidi ni ametajwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaowania kwenye tuzo za muziki nchini Uganda. Moji Short Babaa ametajwa kuwania kipengele cha African Act of the Year kwenye […]
Read More