MONI CENTROZONE ATHIBITISHA KOLABO YAKE NA MSANII WA KONDE GANG, ANJELLA
Female singer kutoka lebo ya Konde Gang Worldwide, msanii Anjella huenda tukamsikia kwenye ngoma ijayo ya rapa Moni Centrozone. Rapa huyo mzaliwa wa Majengo Sokoni, Dodoma kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share picha akiwa na Anjella na kueleza kwamba angetamani mrembo huyo asikike kwenye moja ya ngoma yake, ikiwa ni kolabo yake ya kwanza na […]
Read More