Lil Wayne ashtakiwa na mpishi wake
Rapa Lil Wayne ameshtakiwa na mpishi wake wa zamani ambaye amedai kwamba alifukuzwa kazi kimakosa kwasababu alienda kumuuguza mwanae mwenye umri wa miaka 10.Kwa mujibu wa Blast mpishi huyo Morgan Medlock anasema kwamba alifukuzwa kazi baada ya kuondoka pale alipogundua kuwa mtoto wake amepata majeraha ya kichwa Morgan ambaye kwa wakati huo alikuwa mjini Las Vegas pamoja […]
Read More